KAA TAYARI KWA MAFUNZO YA KUPIKA SAMAKI MAARUFU SANA AINA YA CHANGU KWA KUTUMIA MBINU MBALI MBALI ZAIDI YA 10 NA UTAALAMU WA KUMPAMBA KATIKA SAHANI AWEZE KUVUTIA WALAJI
Samaki changu mbichi akiwa ameshasafishwa safi kabisa
Samaki changu wa kuchoma kwa kutumia foil
Jinsi ya kuachanisha kati ya mifupa na nyama ya samaki changu
Jinsi ya kumchoma samaki changu katika jiko la mkaa
Jinsi ya kumuoka samaki changu katika ovena
MPENDWA KAKA CHEF WA UKWEEE,NASUBIRIA SANA HUU UPISHI MANA NAPENDA MNO MNO CHANGU SAMAKI NA IVI UKU NILIKO HAKUNA BAHARI NAWAPATA TU DUKA MOJA IVI APA MJINI,,,,NIMEWAMISI SANA NGOJA WIKEND HII NIWANUNUE NA PRAWNS
ReplyDeleteTUPE RAHA NA SHULE TUPIKE SIE NDO KILOCHOBAKIA HAPA DUNIANI