WAPENZI WA BLOG HII NAOMBA KURA ZENU NDUGU ZANGU MAELEZO ZAIDI YAPO HAPO CHINI NA YANAELEWEKA VIZURI
Bonyeza katika link hii hapa http://tanzanianblogawards.blogspot.se/2013/09/vote-for-best-food-blog.html
Jinsi ya kupiga kura
1. Itafunguka ukurasa na kuonyesha website husika ya kwanza kabisa inasema vote for Tanzania best food blog hiyo hiyo fungua .
2. Kisha utafunguka ukurasa mwingine ukisema PIGA KURA YAKO KUCHAGUA BEST FOOD BLOG bonyeza tena hapo
3. Kisha itafunguka ukurasa wenye majina ya blog zote zinazoshindana blog yetu ya active chef ni yakwanza kabisa bonyeza kiduara cheusi upande wa kushoto ilikuichangua na kisha piga kura yako tukufu tushinde mtu wangu.
NAWASHUKURU SANA WAPENZI WOTE WA BLOG HII YA CHAKULA BORA NA SALAMA
No comments:
Post a Comment
Tunaheshimu sana maoni yako