JIFUNZE KUTENGENEZA BISIKUTI ZENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA YA KUSAGA NA MAYAI
MAHITAJAI
8 kijiko kikubwa cha chakula butter au siagi
120 gram karanga ya kusagwa ilainike
180 gram sukari ya kahawia
2 kijiko kikubwa cha chakula asali
1 yai la kuku ( kama hutumii mayai weka 2 vijiko vya vegetable oil)
1 kijiko kidogo cha chai vanilla essence
360 gram unga wa ngano
1 kijiko kidogo cha chai baking soda
120 gram karanga za kumenywa zilizokaangwa
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
Unaweza kutengeneza biskuti zenye ladha kama biskuti aina ya "EAT SAM MOO"?
ReplyDeletenakupongeza kwa blogu hiii yenye mapishi mazuri ... huwa najaribu mapishi yako and the taste is superb..
ReplyDeleteila ninaomba uweke maelezo katika picha ili kutufanyia wepesi sisi wanafunzi tusiguess... pia kuna baadhi ya recipes hazina ingredients list na picha hazina maelezo ..plz help
JazakaAllah khair
nakupongeza kwa blogu hiii yenye mapishi mazuri ... huwa najaribu mapishi yako and the taste is superb..