Friday, March 12, 2010

JINSI YA KUTENGENEZA SALAD YA PARACHICHI ( AVOCADO)


Kutana na chef AGUSTINO JOSEPH NGAO moja ya chef watanzania safi sana nilio wahi kufanya nao kazi kwa ushirikiano safi sana na mpaka sasa ni moja ya chef mtanzania mwenye kipaji cha ubunifu na ufanisi safi san katika kazi yake chini ni moja ya salad alizote fanya utundu na kua mlo safi sana fatilia mafunzo chini




Matango, lettuce salad, nyanya mbivu na parachichi




Menya parachichi lako safi kisha likate kwa michirizi usifike mwisho uliposhikilia


Kisha liweke kwenye sahani na litandaze liweke umbo safi katika sahani yako safi




weka jani la lettuce kwa chini yake



weka vipande vya nyanya juu ya jani la lettuce



weka slice za tango chini ya jani la lettuce




Kisha mwagia balsamic vinegrate juu ya saladi yako recipe ya balsamic vinaigrate angalia chini kwenye ile salad ya mboga majani



Huu ndio muonekano wa salad yako saafi kabisa kula kabla ya mlo kamili pia unaweka kula baada ya mlo kamili


Salad hii mpe mwanao kwa afya na mtu mzima pia








2 comments:

  1. hi chief asante sana kwa kutupa mavitu yaliyoenda shule yaani tunafarijika, sasa mi ningeomba utuwekee vyakula na salad vya watu wnaotakiwa kupunguza mwili si unajua tena ili itusaidie
    asante

    ReplyDelete
  2. Asante. kwa salad, sikuwahi kufikiria kuwa unaweza tengeza salad ya parachichi

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako