Monday, January 31, 2011

JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA MKATE HUU MWEUPE WA KUKUNJA


MKATE HUU NI MAARUFU SANA NCHINI SWISS NI MKATE MWEUPE WA KUKUNJA PIKA KAMA KITAFUNWA WAKATI WA CHAI ASUBUHI FAMILIA IFURAHIE


MAHITAJI

720 gram unga wa ngano

1 kijiko kidogo cha chai chumvi
1 kijiko kikubwa cha chakula amira ya chenga
1 kijiko kidogo cha chai asali
240 gram maziwa ya vugu vugu
4 kijiko kikubwa cha chakula siagi iyeyushe kidogo 
1 yai
JINSI YA KUJIFUNZA FATILIA MAFUNZO HAPO CHINI KATIKA PICHA



















































2 comments:

  1. yam yam, mkate unaelekea mtam sana.
    Chef mi naomba next utuwekee jinsi ya kusonga ugali. Mimi napenda sana kula ugali ila usongaji wake naona kama sipatii kivilee...na je unajuaje kama ugali umeiva? Please help.

    Mdau

    ReplyDelete
  2. Salaam kaka Issa,
    mimi nataka kupika kwa kutumia mkaa kwani mama mkwe wangu yupo shamba anataka kupika kwa mkaa hakuna umeme tufanyeje

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako