Friday, July 15, 2011

WE NI MPENZI WA SANDWICH

KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA YA SANDWICH










































6 comments:

  1. Sasa hivo ni vinini hapo juu. Ni samolina au ni nyama? Na hiyo cheese ni cheese gani? maelezo basi kodogo unatuacha hoi...Love your food but I can't do much...

    ReplyDelete
  2. safi sanaaaa! sasa cc tusiojua tutajuaje?tupe somo basii!

    njaa tayari

    ReplyDelete
  3. yammy...yani unatufanya tupende kupika kweli kabisa mwili ni chakula safi kama hivi,ubarikiwe kwa ukarimu wako inshallah uongezewe

    ReplyDelete
  4. tunanjoja recipe kaka ramadhani hiyooo mlangoni.

    ReplyDelete
  5. Issa tutumie na vya kufuturu mbona unachelewa kuweka mapishi si kama zamani vipi? Zifanyie kazi kura zetu basii

    ReplyDelete
  6. kaka tupe hii. Ramadhani Kareem duh nime miss sana humu ndani jamani.

    Tweety

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako