Monday, August 1, 2011


NAFASI YA KAZI KWA MPISHI MKUU MSAIDIZI KATIKA JIKO

 
NAFASI YA KAZI................SOUS CHEF
UZOEFU WA KAZI ..................KUANZIA MIAKA 5 KATIKA HOTEL YA NYOTA 5
UJUZI WA UPISHI..............AWE NA UWEZO WAKUTOSHA IDARA ZOTE ZA JIKO
ELIMU ............................. KUANZAI CHETI NA KUENDELEA
KURIPOTI KAZINI.............. HARAKA IWEZEKANAVYO
UWAJIBIKAJI........... KUJITUMA NA KUWEZA KUFANYA KAZI MASAA MENGI
MSHAHARA.............MNONO SANA
MAHALI....................MTWARA
ENEO LA KAZI...........HOTEL YA NYOTA 3
AINA YA BIASHARA YA CHAKULA.............A LA CATER NA LIVE BBQ
MALAZI ............ CHUMBA CHA CHEF KIPO, VINYWAJI NA CHAKULA BURE
MATIBABU............... BURE


 
KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA KUTUMA MAOMBI TAFADHALI TUMIA BARUA PEPE HII
issakesu@gmail.com NA UTAJIBIWA HARAKA SANA KUMBUKA KUAMBATANISHA CV
YAKO NA NAMBA YA SIMU.



No comments:

Post a Comment

Tunaheshimu sana maoni yako