Saturday, March 24, 2012

HABARI WAPENZI WA BLOG YA CHAKULA SAFI NA SALAMA

ASANTENI SANA WAPENZI WA BLOG HII MLIOPO DUBAI, ISTANBUL, PARIS, BASEL, LUZERN, COPENHAGEN, GÖTEBORG NILIKUJA NA TUMEWEZA KUONANA.

NAWATAKIA WEEKEND NJEMA NA MAPUMZIKO MEMA HABARI DAR ES SALAAM TUPO PAMOJA NIMEFIKA SALAMA NYUMBANI

CHEF ISSA

2 comments:

Tunaheshimu sana maoni yako