JIFUNZE JINSI YA KUPAMBA KEKI HATUA KWA HATUA, FATILIA MPAKA MWISHO WAKE UONE ITAKAMILIKA NA KUPENDEZA VIPI.
Hapa natumia chocolate nyeupe kuandika katika chocolate block ya kilo 2 yote hii ni ubunifu na ilipendeza sana sana.
Keki ikiwa imekamilika imepambwa kwa matunda na chocolate nyeupe na nyeusi pia keki hii imekaa mfano wa mlima kilimanjaro na theruji yake inayopendeza sana.
Muonekano safi wa keki yenye mfano wa mlima kilimanjaro kwajili ya kuwatakia kheri ya sikukuu ya noeli na mwaka mpya hapo kwenye muonekano wa maneno ni chocolate bloc ya kilo mbili na chocolate trifle kama mapambo hapo mbele staff wenzangu walikula na walifurahia sana sana.
7 comments:
kweli tuna hamu ya kufahamu hayo mapishi tatizo sijui umekuwa ukisahau au ndiyo style ya kuandaa hiyo, mbona hakuna maelezo yoyote kuhusu utengenezaji wa keki hiyo zaidi ya picha tu, tunajua kupika keki but prlbm ipo kwenye decoration, nilijua utaweka RECIPE yote hatua kwa hatua, waiting for it plzzzzz
plz tuwekee hii tunaihitaji sana kaka issa!!
kaka issa naomba recipe ya kutengeneza keki na ya kutengeneza icing sugar wenyewe mnaiita plastic icing sugar plsssssss
Hivi keki unaweza ukaposti ikafika sehemu hebu jaribu hii kaka issa ututumie Pls.
nilipofungua ua blog na kukuta keki iliyokuwa decorated nilifurahi sana nikajua sasa nishajua na mimi jinsi ya kupamba keki, cha kustajaabisha zaidi ya decorations zako mwenyewe sijaona hoyo recipe ya nini kifanyike ili tupate mvuto kama huo, ninachojua mimi zaidi ya icng sugar na ute wa mayai sina chengine ninachofahamu kwenye upambaji. please hemu ukipata muda tupatie hayo mavituzi na sisi. kama utakuwa na kumbukumbu for the first tym nilihitaji maelekezo ya kupamba keki na nikakwambia kuwa nataka nifanye suprise ya kupama b keki ya birtdate. plzzzzzzzzz tel us
Duh! i wish husb wangu angekua anajua pika kama wewe! ningenenepa balaaaaaaaaaaaaaaaaa! Anajua kupika mayai ya kuchemsha na kukaanga tu!!!
chef,hongera nice work but ingekuwa vyema if ungeandika namba yako kwa masiliano zaidi.
Post a Comment