CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Saturday, January 26, 2013

JIFUNZE KUPIKA PASTA YA KUCHANGANYA PAMOJA NA NYAMA

 
JIFUNZE KUPIKA PASTA SAFI KABISA NA NAFUU KWA MUDA MCHACHE IKIWA IMECHANGANYWA PAMOJA NA NYAMA YA MBUZI LAKINI KWA MAPISHI HAYA HAYA WEWE UNAWEZA KUPIKA NA NYAMA YA KUKU AU NYAMA NG"OMBE
 
MAHITAJI
 
JINSI YA KUPIKA FATILIA VIDEO NA MAELEZO HAPO CHINI
 
 
HII NI VIDEO YA SEHEMU YA KWANZA


HII NI VIDEO YA SEHEMU YA PILI


HII NI VIDEO YA SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO




Friday, January 18, 2013

JIFUNZE KUTENGENEZA NYAMA SAFI LAINI YA KUKAANGA NA MCHANGANYIKO WA MBOGA MAJANI

 
JIFUNZE KUTENGENZA NYAMA IWE LAINI KABISA NA TAMU KWA MUDA MFUPI PAMOJA NA MBOGA MAJANI
 
 
MAHITAJI
 
JINSI YA KUAANDAA FATILIA VIDEO NA MAELEZO HAPO CHINI

 
VIDEO YA KWANZA
 
 
HII NI VIDEO YA PILI NA YA MWISHO
 
 
 


Tuesday, January 15, 2013

JIFUNZE KUTENGENEZA BURGER YA NYAMA YA NG"OMBE

 
JIFUNZE KUTENGENZA BURGER HII YA NYAMA YA NG"OMBE NI RAHISI NA FUU SANA KUANDAA
 
MAHITAJI
 
JINSI YA KUANDAA FATILIA MAFUNZO KATIKA VIDEO HAPO CHINI
  
 
VIDEO YA KWANZA YA MAFUNZO YA BURGER
 
 
VIDEO YA PILI NA YA MWISHO YA MAFUNZO YA BURGER
 


Thursday, January 10, 2013

JIFUNZE KUPIKA PILAU YA NYAMA YA MBUZI

 
 
JIFUNZE KUPIKA PILAU YA NYAMA YA MBUZI NI RAHISI NAFUU NA NI TAMU SANA
 
MAHITAJI
 
 
FATILIA VIDEO NA MAELEZO JISNI YA KUPIKA HAPO CHINI
 

HII NI VIDEO YA KWANZA
 
 
HII NI VIDEO YA PILI
 
 
 
HII NI VIDEO YA TATU NA YA MWISHO

UKITAKA KUENJOY ZAIDI FUNGUA FACEBOOK PAGE KWA KU CLICK HII LINK http://www.facebook.com/pages/Active-chef/509561519067534 KISHA CLICK LIKE NA UTAKUA MWANACHAMA UTAWEZA PATA HABARI ZOTE ZINAZOHUSU MAPISHI NA PIA MAPISHI MAPYA.
 


Tuesday, January 8, 2013

JIFUNZE KUTENGENEZA CHAKULA HIKI CHA VIAZI NA SAMAKI

 RECIPE SAFI KABISA YA CHAKULA HIKI CHA VIAZI PAMOJA NA SAMAKI WA KUKAANGA

NAJARIBU KUAANDAA MAFUNZO KWA NJIA YA VIDEO KAMA MAOMBI YA WATU WENGI KWANI NI NJIA RAHISI YA KILA MMOJA KUELEWA KWA URAHISI ZAIDI KWANI UNAONA MAFUNZO YANAVYOKWENDA HATUA KWA HATUA

MAHITAJI

1 pc ya pili pili hoho chop chop
10 gram ya kitunguu swaumu
400 gram fileti ya samaki
1 pc kitunguu maji kikubwa kata kata slice
500 gram viazi ulaya chemsha viive visipondeke
150 gram cheese
200 gram maziwa au fresh cream
5 gram chumvi
1 pc limao kubwa
30 gram mafuta ya kupikia


 
VIDEO HII NI SEHEMU YA KWANZA
 

 
VIDEO HII NI SEHEMU YA PILI


VIDEO HII NI SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO

CHAKULA HIKI NI RAHISI SANA KUANDAA NIMETUMIA DAKIA 13 TU PIA NAFUU KWA GAHARAMA LADHA SAFI WAANDALIE FAMILIA WAFURAHIE


Wednesday, January 2, 2013

KWAHERI MWAKA 2012 NA KARIBU MWAKA 2013

 
ACTIVE CHEF BLOG LEO INATIMIZA MIAKA 3 KAMILI NA MIEZI SITA YA ACTIVE CHEF RESTAURANT HAPO CHINI NI MAELEZO YA MATUKIO MUHIMU MWAKA 2012


 
 
HAWA NDIO KIKOSI CHA KAZI ACTIVE CHEF MTWARA

 
HUU NDIO MUONEKANO WA RESTAURANT

 
PIA TULIFANIKIWA KUFANYA HARUSI ZA WATU MBALI MBALI

 
MAHARUSI WAKIFAIDIKA NA MSOSI

 
TULIPATA BAHATI YA KUTEMBELEWA NA CHEF TAJI LIUNDI

 
HAWA NI WATEJA WETU WA KUDUMU NI MARUBANI WA HELKOPTA

 
NILITEMBELEWA NA CHEF RUKIA, CHEF GRACE NA CHEF ASIA TOKA VODACOM TZ

 
SAFARI YA KUONDOKA MTWARA KUELEKEA DAR ILIANZA

 
MVUA ZILIKUA KUBWA SANA NA MAGARI YALIKUA YANAZAMA

 
NAKAGUA GARI KAMA IPO SAWA TUENDELEE NA SAFARI MAJI YALIJAA SANA BARABARA HAIONEKANI TUNABAHATISHA TU

 
TULIFIKA SALAMA DARAJA LA MKAPA HAPA NI LAMI MPAKA DAR

 
NILIPATA NAFASI YA KWENDA ZANZIBAR KWA DADA YANGU SIKU 2


MWEZI WA 12 MWAKA 2012 KATI KATI NILIKWEA PIPA NA KURUDI ULAYA KUENDELEA NA KAZI

Tuesday, January 1, 2013

JIFUNZE KUTENGENEZA MAPISHI HAYA TOKA KWA CHEF ANNA LUSINDE NA CHEF AZIZA JAFARI

 
JIFUNZE KUTENGENEZA JUISI HII YA MCHANGANYIKO WA MATUNDA KUTOKA KWA CHEF ANNA LUSINDE
 
MAHITAJI
 
1pc parachichi
3pc tunda pasheni
1 pc embe
1 pc karoti
 
FATILIA PICHA NA MAELEZO CHINI JINSI YA KUANDAA
 
 
menya matunda yote pamoja na karoti kama muonekano katika picha

 
Kisha weka katika blenda na usage

 
Saga wastani kwa spidi ya kawaida kisha chuja hakikisha mbegu zisisagike

 
Chuja kwa chujio pole pole

 
Huu ni muonekano wa jusi baada ya kuchujwa

 
Pata juisi hii pamoja na chakula kumbuka mchanganyiko wa matunda hayo unasukari ya kutosha waandalie familia wafurahie
 
 
JIFUNZE KUTENGENEZA VIAZI MCHANGANYIKO WA MBOGA NA SAUSAGE TOKA KWA CHEF AZIZA JAFARY
 
MAHITAJI
 
1 kg viazi ulaya
5 pc sausage
2 pc pili pili hoho
2 pc carrots
2 pc vitunguu maji
4pc kitunguu swaumu kidogo na bizari nyembamba, mafuta kidogo na chumvi basi
 
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
 
 
chemsha viazi kwa maji na chumvi tu usiweke mafuta

 
weka mafuta katika kikaango acha ipate moto kisha weka mchanganyiko wa mboga zote pamoja na sausage endelea kukaanga utapata harufu safi sana

 
Kisha chukua mchanganyiko wa sausage na umwagie juu ya viazi, chef Aziza Jafary alikunywa koka pamoja na chakula hiki safi sana kwa afya ya mlaji.