HABARI WAPENZI WOOTE WA BLOG
NAMSHUKURU MUNGU KWA KUFIKA SALAMA MWAKA 2011 INGAWA MWANZO WA MWAKA HUU UMEKUA NA KAZI NA SAFARI NYINGI SANA KIASI NIMESHINDWA KUSOMA NA KUJIBU MAIL WALA KUWEKA POST MPYA
NASHUKURU NIMEFIKA SALAMA NYUMBANI NA NITAWEKA POST MPYA SOON
NAWATAKIA KAZI NA SIKU NJEMA
CHEF ISSA
5 comments:
umetutia wasiwasi sana kimya kingi haya tunangoja mafunzo kaka
happy new year
Wishing you a New Year filled with peace, prosperity and happiness
happy new year chef...naamini mambo mazuri yanakuja zaidi...napenda sana kupika ila blog yako imenipa mshawasha zaidi....
Thax bro! U TOO. WE MISSED U MUCH
thankx sana broda,tunasubiri mapishi.
mume wangu alifurahia sana vile viazi asante sana.
Post a Comment