MAHITAJI
80 gram wali mkavu (short grained rice)
30 gram ya mchele uliochemshwa nusu
240 gram za dengu za njano (pigeon peas)
60 gram za dengu (bengal gram)
60 gram za choroko (black gram)
2 pilipili nyekundu zilizokauka
120 gram ya korosho za kukaushwa
60 gram ya machicha ya nazi ( grated coconut)
5gram chumvi
4 majani ya curry
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
80 gram wali mkavu (short grained rice)
30 gram ya mchele uliochemshwa nusu
240 gram za dengu za njano (pigeon peas)
60 gram za dengu (bengal gram)
60 gram za choroko (black gram)
2 pilipili nyekundu zilizokauka
120 gram ya korosho za kukaushwa
60 gram ya machicha ya nazi ( grated coconut)
5gram chumvi
4 majani ya curry
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
3 comments:
mbona umebadilisha system ya kuweka maelezo?? au ndio ubusy huo. unapaswa kuweka maelezo kila baada ya picha. hapo itaeleweka zaidi kama ilivyokuwa mwanzo otherwise itakuwa vigumu kuelewa kwa wengine.
hope you understand wat i mean.
kweli kabisa hata mimi ni mpenzi wa hii blog sielwi weka maelezo kama huu msosi unaonekana ni mtamu ila sasa hata jina sijui unaitwa je Kessy
Aiseee bro,, hii blog iko safi kwa kweli.
kila aipitiaye lazima ataipenda sana.
endelea kuongeza mavitu mengine na itazidi kua bomba
Ni bonge la Idea mzeee.
keep it up
Post a Comment