CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Tuesday, January 19, 2010

NAMNA YA KUCHONGA NDEGE KWA KUTUMIA TUNDA AINA YA APPLE

Hapo chini ni seti ya aina ya vifaa vinavyotumika kuchongea mboga na matunda katika mitindo tofauti


Hapo chini ni vifaa pekee tulivyotumia katika kuchongea tunda letu hili aina ya apple fatilia picha vizuri utaona jinsi ya kuchonga mpaka mwisho anatokea ndege mzuri aina ya bata mzinga kama utakua na swali lolote uliza.


Ndugu wapenzi wa blog yetu ya mafunzo ya chakula kama nilivyoahidi kuhusu kufundisha mapishi na sanaa ya marembo ya mboga na matunda sasa tunaendelea na mafunzo naimani wengi mtafurahia utaalamu huu pia maoni yenu ndio yananipa mwanga nijue hasa kama mnaelewa na mnafatilia. Mafunzo yanayofuata ni utengenezaji wa maandazi safi na salam pamoja na chapati wapenzi wa vyakula hivyo kaeni tayari kupata utaalamu

2 comments:

Anonymous said...

Impressive aisee

Alex Nkondola said...

Issa habari za kazi na pole kwa majukumu yote pia Hongera kwa kupata Elimu adhimu kama hii uliyonayo.Ukiniona utanikumbuka kwani nadhani tuliwahi kuwa wote (kwa sasa Movenpick)Hili somo kidogo ni gumu tofauti na masomo yote maana uchongaji unahitaji umakini wa hali ya juu. Ushauri ni step by step na kila kitu kiweke wazi kimoja kimoja mpaka unapounganisha na kuwa kitu halisi.