CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Thursday, January 6, 2011

KHERI NA MAFANIKIO YA MWAKA MPYA 2011


HABARI WAPENZI WOOTE WA BLOG

NAMSHUKURU MUNGU KWA KUFIKA SALAMA MWAKA 2011 INGAWA MWANZO WA MWAKA HUU UMEKUA NA KAZI NA SAFARI NYINGI SANA KIASI NIMESHINDWA KUSOMA NA KUJIBU MAIL WALA KUWEKA POST MPYA

NASHUKURU NIMEFIKA SALAMA NYUMBANI NA NITAWEKA POST MPYA SOON

NAWATAKIA KAZI NA SIKU NJEMA

CHEF ISSA


5 comments:

Anonymous said...

umetutia wasiwasi sana kimya kingi haya tunangoja mafunzo kaka
happy new year

Nancy Mhangwa said...

Wishing you a New Year filled with peace, prosperity and happiness

Anonymous said...

happy new year chef...naamini mambo mazuri yanakuja zaidi...napenda sana kupika ila blog yako imenipa mshawasha zaidi....

Anonymous said...

Thax bro! U TOO. WE MISSED U MUCH

Mama Taqqiyyah said...

thankx sana broda,tunasubiri mapishi.
mume wangu alifurahia sana vile viazi asante sana.