CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Thursday, August 2, 2012

NAFASI YA KAZI


HABARI YA SIKU WAPOENZI WA BLOG HII YA CHAKULA BORA NA SALAMA.
RAFIKI YANGU ANATANGAZA NAFASI YA KAZI KWA CHEF ANAEWEZA KUPIKA CONTINENTAL CUISIN MSHAHARA MZURI TUNA CV NA BARUA YA MAOMBI KWA EMAIL HII active.chef@yahoo.com, MAHALI NI MTWARA JIKO LINAVIFAA VYA KISASA SANA, MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 25/8/2012

NAWATAKIA SIKU NJEMA.

CHEF ISSA

1 comment:

Young Master said...

Mkuu inabidi uweke vigezo ambavyo vinahitajika huyo mpishi awe navyo pamoja na tarehe ya mwisho ya kutuma maombi. Mimi nataka nikusaidie kutangaza hii nafasi ya kazi lakini itashindikana kama haitokuwa na maelezo mazuri. Pia ueleze huyo mtu yuko wapi