CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Monday, February 14, 2011

HAPPY VALENTINE KWA WAPENZI WOOTE WA CULINARY CHAMBER


NAWATAKIA KHERI YA SIKUKU YA WAPENDANAO. UPENDO NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIMU. LEO NIMEADHIMISHA KWA KUONYESHA UPENDO KWA WATU WOOTE TUNAOFAHAMIANA PIA NIMEWEZA KUWAPATIA CHAKULA RAFIKI ZANGU BATA WANAOISHI KATIKA MTO ULIO JIRANI NA NYUMBANI KWANGU WALIFURAHI SANA SANA MAANA LEO NIMEWAPATIA ZAIDI YA KILO 2 ZA CHAKULA.

PIA NAWAOMBA RADHI WAPENZI WOTE KWA KUCHELEWA KUWEKA MAELEZO AU RECIPE BAADA YA KUANDAA CHAKULA NA KUWEKA PICHA. SABABU YA KUCHELEWA NI KUBANWA NA KAZI PIA NACHUKUA MUDA MWINGI SANA KUANDIKA KISWAHIKLI FASAHA NA CHEPESI KILA MTU AWEZE KUELEWA KWA URAHISI.

MIKAKATI YANGU NI KUANZA KUWEKA VIDEO ZA MAPISHI HAPA ITAHITAJIKA RECIPE TU MAELEZO WATU WATAKUA WANAANGALIA KATIKA VIDEO. NIKIJAALIWA KUPATA CAMERA NZURI NITAANZA KUWEKA VIDEO.

NATAMANI SANA KUONA PICHA ZA VYAKULA MNAVYOTENGENEZA MAJUMBANI KWENU BAADA YA KUSOMA RECIPE TAFADHALI NAOMBA MNITUMIE JAMANI MHHHH  !!!!!??? NIWEKE KATIKA BLOG.Nimewazoesha nawarushia chakula wakiwa mtoni kila siku jioni kama nipo nyumbaniLeo chakula kilikua kingi sana kiasi wamekuja mpaka darajani kwenye barabara wakifurahia kula nafaka. Bata hawa wanapendeza sana kwa rangi zao na tabia pia.


3 comments:

Anonymous said...

i love nature, i love birds. much respect for caring for them. unapata thawabu sana toka kwa Mungu.

Anonymous said...

mh jamani mbona kimya????? au ndo umeshaishiwa??

Anonymous said...

jamani watu wengine kuweni wastaarab!!!! hujui kupika na mdomo mrefu!!! kama kaishiwa waja humu ndani kufanya nini?

kuwalisha viumbe ni thawabu siku ya kiama waja kukutetea kaama wewe mtu mwema. big up chef nasubiria mapishi ya bajia za bilingani!!!!


firdaus!!!