CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Friday, July 15, 2011

WE NI MPENZI WA SANDWICH

KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA YA SANDWICH


6 comments:

Anonymous said...

Sasa hivo ni vinini hapo juu. Ni samolina au ni nyama? Na hiyo cheese ni cheese gani? maelezo basi kodogo unatuacha hoi...Love your food but I can't do much...

Anonymous said...

safi sanaaaa! sasa cc tusiojua tutajuaje?tupe somo basii!

njaa tayari

Anonymous said...

yammy...yani unatufanya tupende kupika kweli kabisa mwili ni chakula safi kama hivi,ubarikiwe kwa ukarimu wako inshallah uongezewe

Anonymous said...

tunanjoja recipe kaka ramadhani hiyooo mlangoni.

Anonymous said...

Issa tutumie na vya kufuturu mbona unachelewa kuweka mapishi si kama zamani vipi? Zifanyie kazi kura zetu basii

Anonymous said...

kaka tupe hii. Ramadhani Kareem duh nime miss sana humu ndani jamani.

Tweety