CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Wednesday, October 5, 2011

JIFUNZE KUPAMBA CHAKULA KATIKA SAHANI

HUONGEZA MVUTO NA PIA KUHAMASISHA HAMU YA KULA KWA MLAJI, KILA CHAKULA KINA AINA YAKE YA UPAMBAJI












4 comments:

Anonymous said...

jamani kweli hapo hata ukiwa huna njaa utakula tu inavutia sana ,tatizo ni muda na hizo style sasa mh tutajikataje vidole.yaani unajua kila siku nachungulia huku tokea niepewa hii site kuna dada moja alituwekea site yako kwa facebook yaani tunashukuru sana kwa mapsihi sansana ya watoto umetusaidia sana na hivi ni yako kwa kiswahili raha tu na vitu vyote vinapatikana siku hizi ubarikiwe sana,tutakusumbua kweli.

Anonymous said...

wewe chef ungejua tunavyokufagilia acha tu,tunakuombea uzima uendelee utupa ujuzi wa kukaangiza

Anonymous said...

Kaka Issa naipenda sana blogu yako.Nimejifunza mengi.Naomba sana sana kama utaweza kunisaidia pishi moja muhimu ambalo limekuwa likiniangusha kila nikijaribu nimeshindwa kabisa, pishi hilo ni NYAMA YA KUKAANGA.Naongelea nyama ambayo nikiipika itakuwa na hadhi ya hoteli.Sijui ni viungo gani vyafaa katika kuikangaa nyama?kaka nisaidie kwani sithubutu kupika hili pishi kwa woga wa kuaibika.

Anonymous said...

Mimi nachemsha kukaanga samaki,yaani nikikaanga inakua crunchy ile mbaya.