CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Saturday, March 24, 2012

HABARI WAPENZI WA BLOG YA CHAKULA SAFI NA SALAMA

ASANTENI SANA WAPENZI WA BLOG HII MLIOPO DUBAI, ISTANBUL, PARIS, BASEL, LUZERN, COPENHAGEN, GÖTEBORG NILIKUJA NA TUMEWEZA KUONANA.

NAWATAKIA WEEKEND NJEMA NA MAPUMZIKO MEMA HABARI DAR ES SALAAM TUPO PAMOJA NIMEFIKA SALAMA NYUMBANI

CHEF ISSA

2 comments:

Anonymous said...

karibu sana kaka tulikumiss sana,..

Anonymous said...

Karibu pia Helsinki jamani