CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Tuesday, January 8, 2013

JIFUNZE KUTENGENEZA CHAKULA HIKI CHA VIAZI NA SAMAKI

 RECIPE SAFI KABISA YA CHAKULA HIKI CHA VIAZI PAMOJA NA SAMAKI WA KUKAANGA

NAJARIBU KUAANDAA MAFUNZO KWA NJIA YA VIDEO KAMA MAOMBI YA WATU WENGI KWANI NI NJIA RAHISI YA KILA MMOJA KUELEWA KWA URAHISI ZAIDI KWANI UNAONA MAFUNZO YANAVYOKWENDA HATUA KWA HATUA

MAHITAJI

1 pc ya pili pili hoho chop chop
10 gram ya kitunguu swaumu
400 gram fileti ya samaki
1 pc kitunguu maji kikubwa kata kata slice
500 gram viazi ulaya chemsha viive visipondeke
150 gram cheese
200 gram maziwa au fresh cream
5 gram chumvi
1 pc limao kubwa
30 gram mafuta ya kupikia


 
VIDEO HII NI SEHEMU YA KWANZA
 

 
VIDEO HII NI SEHEMU YA PILI


VIDEO HII NI SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO

CHAKULA HIKI NI RAHISI SANA KUANDAA NIMETUMIA DAKIA 13 TU PIA NAFUU KWA GAHARAMA LADHA SAFI WAANDALIE FAMILIA WAFURAHIE


7 comments:

Anonymous said...

nimeipenda hii.Chakula simple nitajaribu kukipika kesho.Asante sana

Anonymous said...

big up chef! nakukubali sana mimi nina fikra kama ingewezekana ungekuwa na kipindi kwenye TV kwa ajili ya kutuelimisha watanzania juu ya vyakula kwakuwa tuna kila kitu sema mpangilio hatuna ujaribu kuonyesha menu ambazo mahitaji rahisi ili kila mtanzania amudu kama unavyojua wengi wao sisi kipato kidogo,ahsante chef.

Anonymous said...

chef hii imekaa vizuri saana < nimeelewa vizuri saana

Unknown said...

Hongera chef! Naomba kuuliza hiyo chumvi yenye mchanganyiko na mboga mboga inaitwaje? Naweza kuipata wapi?

Anonymous said...

hongera chef ,good idea kufanya video.pls anzisha vipindi kama mdau alivyosema hapo juu.keep it up

Anonymous said...

Nimepika hiki chakula, wanangu 5 and 3 wavivu wa kula wenyewe wamesema mama ongeza. Thanks a million

Anonymous said...

Ahsante kwa elimu ila sauti inakuwa chini sana mi natumia simu kujifunza. Ningependa kujua jinsi ya kutayarisha sauce za aina mbalimbali