CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Friday, February 15, 2013

JIFUNZE KUPIKA PASTA NA NYAMA YA KUSAGA ( MEAT BALLS)

 
KAA TAYARI UJIFUNZE KUTENGENEZA PASTA NA MEAT BALLS PAMOJA NA MCHANGANYIKO WA MBOGA MAJANI KWA NJIA YA VIDEO

 
Huu ni muonekano wa maandalizi ya vitu vya kupika pasta, spinach na meat balls
 
 
 
 
Hii ndio video ya mapishi ya pasta spinach na nyama ya kusaga
 
 

2 comments:

Anonymous said...

Aisee vinavutia sana duh!!

Anonymous said...

can i use frozen spinach?