CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Friday, April 12, 2013

JIFUNZE KEKI YENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA SUKARI YA KAHAWIA NA KAHAWA YA UNGA

 
 
HEHEHEEEEEEEEEEEEE UNAKUMBUKA ENZI ZA PIPI TOFFIIIII?? KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA YA KEKI YENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA SUKARI YA KAHAWIA NA KAHAWA YA UNGA WEEKEND HII NI TAMU RAHISI NA NI NAFUU KUANDAA

MAHITAJI

JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI

 
 
 
maelezo yanafatia muda si mrefu


3 comments:

Anonymous said...

tafadhali naomba kuelekezwa jinsi ya kuitumia Bread Maker.

Tatizo langu nahisi utayarishaji na uchanganyaji wa mkate, pili jinsi ya kutumia hiyo mashine. Kila ninapoongeza moto mkate hauwi bali machine inauchanganya tu.

Naomba kuelekezwa tafadhali,

Anonymous said...

mlo wa mtoto miezi tisa vp?

myself said...

habari, naulizia hiko kitabu cha ratiba ya chakula kimetoa au lah, na kama kimetoka kinapatikana wapi