CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Wednesday, March 5, 2014

HOTEL VICTORIA NOW OPEN KWANGUVU ZOOOTE

NILIONDOKA ULAYA TAR 31/2013 NAKUFIKA NYUMBANI TANZANIA TAR 1/2014 MOJA KWAMOJA NILIKUA BUSY SANA KUKAMILISHA UJENZI WA HOTEL VICTORIA MTWANA MNAMO TAR 14/2/2014 SIKU YA VALENTINE TULIFUNGUA RASMI HOTEL POKEA PICHA HIZI BAADHI ZA MATUKIO MWAMBIE NDUGU AU RAFIKI SEHEMU BORA YA MALAZI NA CHAKULA NI HOTEL VICTORIA MTWARA
 

 
 

8 comments:

Anonymous said...

BIG UP BROTHER, ALL THE BEST IN FUTURE SO HAPPY FOR U.

Anonymous said...

Hongera sana Chef Issa. Nakutakia mafaniki. Natamani kufika unipikie chakula hapo, I can only imagine the taste of the food.
Swali: Ndo umerudi moja kwa moja?

Anonymous said...

Nice, Big up

Anonymous said...

Dah safi sana hii haijawahi kutokea mtwara tumezoe zile zetu sasa hii kubwa lake. hongera sana team mzima ya victoria hotel.....

Anonymous said...

I need direction and contact please where is located? mtwara is big

Anonymous said...

mie ni mdau wako na sijawahi comment anything ila kwa ufunguzi huu you are brilliant, big up

Anonymous said...

Hongera sna

Anonymous said...

Hongera sana kaka,mimi pia nimpishi kwasasa nipo chuo nachukuwa diploma ya culinary art natamani niwe kama wewe,