CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Saturday, October 25, 2014

JIFUNZE KUTENGENEZA BISIKUTI ZENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA YA KUSAGA

JIFUNZE KUTENGENEZA BISIKUTI ZENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA YA KUSAGA NA MAYAI
 
MAHITAJAI
8 kijiko kikubwa cha chakula butter au siagi
120 gram karanga ya kusagwa ilainike
180 gram sukari ya kahawia
2 kijiko kikubwa cha chakula asali
1 yai la kuku ( kama hutumii mayai weka 2 vijiko vya vegetable oil)
1 kijiko kidogo cha chai vanilla essence
360 gram unga wa ngano
1 kijiko kidogo cha chai baking soda
120 gram karanga za kumenywa zilizokaangwa
 
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
 
3 comments:

Mtanzania Halisi said...

Unaweza kutengeneza biskuti zenye ladha kama biskuti aina ya "EAT SAM MOO"?

mimiK said...

nakupongeza kwa blogu hiii yenye mapishi mazuri ... huwa najaribu mapishi yako and the taste is superb..
ila ninaomba uweke maelezo katika picha ili kutufanyia wepesi sisi wanafunzi tusiguess... pia kuna baadhi ya recipes hazina ingredients list na picha hazina maelezo ..plz help
JazakaAllah khair