Monday, February 22, 2010
GREETINGS
WAPENZI WOTE WA BLOG YA CHAKULA SALAMA NAOMBA RADHI KWA KUCHELEWA SANA KUWEKA MAFUNZO KAMA WENGI WENU MLIVYOOMBA SASA KAZI INAENDELEA KILA SIKU MTAPATA MAFUNZO MBALI MBALI MFULULIZO BILA KUKOSA MAONI YENU NI MUHIMU SANA ILI KILA MMOJA APATE KUFAHAMU KAMA HUJAELEWA ULIZA UPATE UFAFANUZI ZAIDI WAPENZI WA BITES, KEKI, SALAD SOON MTAFURAHI NAWASHUKURU WOTE KWA USHIRIKIANO WENU NAWATAKIA KAZI NA SIKU NJEMA CHEF ISSA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
unapatikana wapo incase one anataka kula chakula chako,this z a very intersting blog coz kna vitu vingi nilikuwa nakoseaga kupika.
Blog ipo hot, maana kwa sisi wapenzi wa kula hapa ndiyo sehemu ambayo lazima nipitie maana napate maujuzi yote ya misosi.
Nasubiri kwa hamu maswala ya SALAD maana mimi ni mpenzi sana wa hiyo kitu. Robert
Post a Comment