CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Monday, February 28, 2011

HABARI WAPENZI WA BLOG


NASHUKURU SANA KWA WALE WOTE MLIONIPIGIA SIMU KIPINDI NIKIWA ARUSHA NA DAR ES SALAAM TUTAONANA TENA MWEZI WA TANO NITAKAPOKUJA LIKIZO FUPI.

PIA NAMPONGEZA SANA MAMA YANGU MZAZI ASIA KAPANDE KWA KUPATA TUZO YA HESHIMA KWA MWANAMKE ALIETOA MCHANGO MKUBWA SANA UPANDE WA MASWALA YA KILIMO FAMILIA NZIMA YA RAMADHANI KAPANDE TUNAFURAHIA SANA NA TUNAJIVUNIA SANA MAFANIKIO YAKO MAMA YETU MPENDWAMAMA YANGU MZAZI NI WA PILI TOKA KUSHOTO WALIOSIMAMA MBELE AMEVAA NGUO YA RANGI YA BLUE NA HIJAB NYEUPE KASHIKA CHETI NA TUZO BIG UP MAMA.

TUZO HIZI ZILITOLEWA JANA UKUMBI WA MLIMANI CITY IKIWA NI SIKU YA MWANAMKE DUNIANI.

NAWATAKIA SIKU NJEMA

CHEF ISSA

8 comments:

Aunt Ndaga UK said...

pole na kazi, mimi nilikuwa naomba uniandikie kwa vipimo jinsi ya kutengeneza ice cream kwa machine, manake nachanganyikiwa wengine wanatumia kuweka cream wengine milk, wengine condesed milk sasa nachanganyikiwa nataka ile basic tu alafu vikolombwezo nitajitahidi thanks

Anonymous said...

Hongera sana mama yetu,mwenyezi mungu na akuzidishie uhai mrefu na uzidi kusaidia jamii zaidi kwa uwezo wake mola.

Mdau Fin

Anonymous said...

Hongera sana , kwakweli familia imebarikiwa , inshallah mmungu awabariki zaid na zaid sio kwenu nyinyi tu hata kwa kizazi kijacho ,kaka keki sijapika bado isione nimekukimbia nikipika picha nitatuma tu inshallah ila fedha kidogo inapiga chenga sasa ivi

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Hongera Mama Kapande! Nimefanya naye kazi na naendelea kufanya naye kazi hivo nafahamu kuwa anastahili tuzo hiyo.!

Farid Bin Ali said...

MAMA yetu sote tunampa pongezi sana na MWENEZI MUNGU amizidishie kila la kheri

Anonymous said...

Assalam aleykum Mama Kapande. Nampa hongera kubwa sana. Mimi sikufanya kazi nae lakini lakini ni Mama ambaye katika wamama wanaoleta maendeleo makubwa kimya kimya bila ya kupiga makelele katika vyombo vya habari au katika mikutano ya akina Mama. Asia uko juu Mama.

Anonymous said...

hongera bi Asya, sina pingamizi na hiyo tuzo nina hakika hata hao walioitoa they wil never regret. sio siri wapenzi wasomaji wenzangu niliwahi kukutana na Bi Asya (ASIA) for only a day ila kwa hakika anastahiki. big up

mama Jeremiah said...

Hongera nyingi kwa mama Kapande. Tunazizi kumuombea heri na baraka kwenye kazi zake za kusaidia Jumuiya. Tunaona matunda yake kwa msaada tunaoupata hapa kwenye Blog yetu ya mapishi.

Mbarikiwe sana Kapande family