KWA KULA SAMAKI HUYU MWENYE GAMBA GUMU AINA YA OYSTER UNAWEUWEZEKANO ASILIMIA 99 KUONGEZA NGUVU ZAKO ZA KIUME NDANI YA DAKIKA 10 NA UTAKUA NA NGUVU ZA KAWAIDA TU KAMA BINADAMU WENGINE BILA MADHARA KWA MWILI WAKO AU MWILI WA MWENZI WAKO BADALA YA KUTUMIA DAWA ZENYE MADHARA NA MWILI WAKO NA KWA MWENZI WAKO
FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
Testosterone ni hormone inayozalishwa katika vifuko vya mbegu za uzazi
wa mwanaume, inasaidia sana sana katika kuhamasisha uwezo na msukumo wa tendo
la ndoa. Inasaidia sana pia kumaintain strong bones, muscle mass and strength,
Testosterone inaanza kujitengeneza na kuongezeka katika mwili wa mwaume
wakati wa adolescence na unapopevuka, na hupoteza ubora au kushuka kiwango hasa
pale unapofikia umri wa miaka 30 kwa kiwango cha asilimia 1 kila mwaka. Kukosa ubora au kushuka kwa kiwango kunasababishwa
na stressau mzongo wa mawazo ya maisha, mlo usio kamili , obesity na sababu nyingine.
Inaposhuka ndio balaa inapoanza nawe kukosa hamu au kupungukiwa nguvu za tendo
la ndoa mfano uume kutosimama imara na kukosa hamu pengine hata kufanya tendo
chini ya kiwango kabisa na kusababisha kutomridhisha mwezi wako.
Huna nguvu za kutosha kufanya tendo
la ndoa? Unakosa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa au mara kwa mara
inakutokea? "Basi tatizo lako ni 'low T' au low testosterone," na ni
tatizo kubwa kwa wanaume wengi.
Oysters
wana Protein, magnesium na madini ya zinc kwa wingi sana kuliko chakula chochote duniani,
ambayo zinc hiyo inasaidia sana kuongeza testosterone, kukuimarisha na kukuza misuli katika
mwili, ukakamavu wa hisia za kimwili na kuzalisha manii ya kutosha (sperm). Chakula kingine chenye zinc nyingi kinachoweza kukusaidia
ni maini ya kuku na mbegu za maboga.
HUYU NDIO OYSTER MWENYEWE AKIWA MZIMA
PICHA HII NI BAADA YA KUMFUNUA
HIZI NI HATUA JINSI YA KUMFUNUA OYSTER MWENYEWE
UNAONA NYAMA TAMU KABISA BAADA YA KUMFUNUA AKIWA BADO MZIMA NA MBICHI
KAMA UNAONA KINYAA BASI MWAGIA CHUMVI NA LIMAO KISHA MLE TARATIBU
PIA UNAWEZA MMWAGIA BALSAMIC VINEGAR AU SIKI KUONGEZA LADHA
VIPANDE VIWILI AU VITATU VINATOSHA KABISA KWA DOZI UNASHAURIWA KULA MARA MOJA KWA WIKI, KAMA MBICHI INAKUSHINDA UNAWEZA KULA WALE WA KWENYE MAKOPO, AU WA KUCHEMSHWA LAKINI USILE WA BBQ AU WA KUKAANGA KABISA UKIMALIZA KULA TU BAADA YA DAKIKA 10 MAJIBU UTAYAONA.
TEMBELEA www.facebook.com/ActiveChef click like ukurasa upate habari nyingi za mapishi
3 comments:
Nashkuru kaka kwa maarifa mazur! Nakupongeza kwa kaz nzur unayoifanya. Naomba niulze swal, hawa samak fresh one wanapatkana wap exactly kwa wngi? Na hw much? Na wa kwnye makopo pia ni wap ntawapata? Kaz njema
hivi oyester kiswahili ni chaza au?
Anapatikana wapi
Post a Comment