Tembelea http://www.tanzanianblogawards.com/ Kisha nemda mpaka kitengo cha Best Food Blog utaona jina la blog yako uipendayo http://activechef.blogspot.com/ na chini yake utaona neno hili Vote. una clik hapa kisha unakua umeshampigia kura chef Issa. Kura yako ni muhmu sana ili kuonyesha umuhimu na kuthamini mchango wa blog yetu ya culinarychamber.
NAWATAKIA KAZI NA SIKU NJEMA
CHEF ISSA
2 comments:
usijali tunakupenda na tutavote usiwe na wasiwasi.
sawa tutakuchaguwa lakini kaka siku hizi unatutupa fan wako hutuwekei picha wala maelezo mpaka siko unotaka mwenyewe
Post a Comment