CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Saturday, June 25, 2011

HABARI NJEMA WAPENZI WA BLOG HII YA MAPAISHI

NIMECHAGULIA KUA MMOJA WA WASHINDANI KATIKA BLOG BORA ZA MAFUNZO YA MAPISHI TANZANIA SOMA MAELEZO HAPO CHINI NA UNIPIGIE KURA

 Tembelea http://www.tanzanianblogawards.com/   Kisha  nemda mpaka kitengo cha Best Food Blog  utaona jina la blog yako uipendayo http://activechef.blogspot.com/ na chini yake utaona neno hili Vote. una clik hapa kisha unakua umeshampigia kura chef Issa. Kura yako ni muhmu sana ili kuonyesha umuhimu na kuthamini mchango wa blog yetu ya culinarychamber.

NAWATAKIA KAZI NA SIKU NJEMA

CHEF ISSA

2 comments:

Anonymous said...

usijali tunakupenda na tutavote usiwe na wasiwasi.

Anonymous said...

sawa tutakuchaguwa lakini kaka siku hizi unatutupa fan wako hutuwekei picha wala maelezo mpaka siko unotaka mwenyewe