HABARI NJEMA NDUGU ZANGU. NAWASHUKURU SANA KWA JUHUDI ZENU KATIKA KUNIPIGIA KURA NA PIA KATIKA KUTAMBUA MCHANGO WA MAFUNZO NAYOWAPATIA. BILA NYINYI WASOMAJI BLOG HII ISINGEKUWEPO NINGAKATA TAMAA KUWEPO KWENU NDIO UHAI WA BLOG HII. NAWASHUKURU SANA NA NAWAAHIDI KUENDELEZA LIBENEKE LA CHAKULA.
MATOKEO NDIO HAYA HAPA CHINI PAMOJA NA CHETI NILICHOTUMIWA
Okay guys here are the results for this year.....Congratulations to all finalists, winners and runners up.
The list for Best Food Blog was.
Best Food Blog
http://activechef.blogspot.com/ 51.77%
http://mapishimatamu.blogspot.com/ 28.37%
http://tasteoftanzania.com/ 11.35%
http://mrokim.blogspot.com/ 5.67%
http://www.bartycake.blogspot.com/ 2.84%..
http://activechef.blogspot.com/ 51.77%
http://mapishimatamu.blogspot.com/ 28.37%
http://tasteoftanzania.com/ 11.35%
http://mrokim.blogspot.com/ 5.67%
http://www.bartycake.blogspot.com/ 2.84%..
4 comments:
i knew u will win, hakuna blog ya apishi kama hii, u give great things, HONGERA SANA KAKA
hongera sana kaka we like you.
chef Issa ,hongera sanaaaaaaa mimi nikiwa mpenzi wa blog yakoa nimefurahi sana kuwa umepata ushindi unastahili ushindi huo kwani vitu unavyotupa ni vya kiwango cha hali ya juu sana kiukweli hubahati kama darasani uliiiva kweli cheeeeers keep it up
Hongera sana kaka endelea kutupa mambo mazuri tunaienda sana blog yako.
Post a Comment