CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Tuesday, November 22, 2011

HABARI WAPENZI WA BLOG


NIMEUMWA SANA NDUGU ZANGU KWA MUDA WA SIKU 7 SASA NASHUKURU ALLAH SASA NINANAFUU NA NITAENDELEA NA KAZI KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI ZA MWAKA MPYA NA CHRISTIMAS

CHEF ISSA

22 comments:

mama Jeremiah said...

pole sana chef Issa. Tunazidi kumuomba MUNGU upate nafuu ya haraka.
Samahani sionekani au sikuandikii sana kwani mambo yamekuwa mengi na majukumu yameongezeka. Upone haraka uzidi kutuletea maujuzi ya kupika

Anonymous said...

Pole sana mwenyezi Mungu azidi kukutangulia!

Anonymous said...

mbona kuna picha tuuu hamna maelekezo it is very hard to understand weka picha pamoja na maelezo tafadhali

Anonymous said...

picha tu bila maelekezo huwezi elewa weka picha na maelezo

tanzaniakwetu said...

Pole sana, na Karibu tena ili utupe mambo mapya na mazuri, tuweze kuelimisha jamii yetu.

tanzaniakwetu said...

Pole sana, na Karibu tena ili utupe mambo mapya na mazuri, tuweze kuelimisha jamii yetu.

Majoy said...

pole sana chef

Anonymous said...

Pole sana kaka Issa Mungu akutie nguvu.barikiwa sana.

ruky said...

Pole sana kaka, Mungu akurudishie afya yako uendelee na shughuli zako za kila siku.

robsson said...

pole sana kaka...tunashukuru umepona bwana....

thanx kwa recipes zako

Anonymous said...

pole sana mpendwa na tunashukuru umepona kwani hujui tu jinsi unavotusaidia ku-improve maswala ya jikoni kwa ujuzi huu unaotupa bure kabisa kaka
ubarikiwe sana na uzidi kushamili kwa roho yako njema

tuko pamoja

Anonymous said...

pole sana jamani.mungu akupe nguvu mpya na afya njema.amen.
mama l

Anonymous said...

Pole sana tunashukuru uko salama maana wengine tunapika kwa kupitia kwako

Anonymous said...

Get well soon but blog yako ina boa kuliko zote nilizowahi kuvist kwani imejaa picha zisizo na maelezo cjui mtu utapikaje bila recipe umekuwa ukiahidi kila mara tunasubiri no changes kuwa up to date bwana na hii si kutokana na kuumwa ni long time unatuboa sana cc wapenzi wako ht hao wanaosifia hawajui wanasifia nn cos huwezi pika kwa macho ukibana poa tu but umeisoma kimyakimya na utaifanyia kazi again get well soon labda utabadilika

Anonymous said...

Pole sana kaka..Mungu akuponye

Anonymous said...

pole sana

Anonymous said...

Mwenyezi Mungu azidi kukupa shifaa kaka angu.. ila ni kweli kwanini hamna maelezo ni pics tu? sometimes I find hard to understand the recipes...

Anonymous said...

Insha Alah.

Anonymous said...

pole sana inshallah Mungu atakuafu

Anonymous said...

kaka pole sana, na in shaa Allah utarudi katika hali yako ya kawaida.

Tweety.

Anonymous said...

Kaka Issa, vipi mambo? je bado waumwa? Xmas na New year imekaribia hakuna kimpya nilitarajiwa kupata kimpya toka kwako....anyway i wish all the best and happy Xmas and Happy New Year too.....Lucy

Anonymous said...

pole sana jamani? thats y nilikua nashangaa umepatwa na nini? sioni post zako.. mungu akutie nguvu kaka yangu..