CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Friday, February 24, 2012

JIFUNZE KUPIKA MAHARAGE KWA KUTUMIA VIUNGO ILI KUONGEZA LADHA


NI NAFUU SANA KWA GHARAMA NA NI RAHISI SANA KUPIKA NA FAMILIA IKAFURAHIA KWANI FAMILIA NYINGI SANA WANAPENDA KULA WALI MAHARAGE NA NDIZI MBIVU HAPA NI MAHALA PAKE

MAHITAJI

JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAFUNZO HAPO CHINI























6 comments:

Anonymous said...

kaka, hili harage baaab kubwa,
hatua za mapishi ni fresh zinaeleweka, ila mahitaji kaka, hasa hivyo viugo, hebu tupe viungo, weekend hii nayatengeneza famili ijilame.
God Bless you for great job
ciaoo
Matei

Anonymous said...

Mungu akubariki sana Kaka kwa kushare ujuzi wako na wenzio. Ni wachache sana wenye moyo kama wako. Mimi ni mara ya kwanza kuona hii blog, nimeipenda sana. The ONLY problem ambayo utstusaidia wengi ni kuweka maelezo kidogo kuwa umechanganya/kuweka kiunga gani na kiungo kipi kwani kwa picha tu ningumu kidogo kuelewa. Mungu akuzidishe na kukupandisha vileleni!

Anonymous said...

mapishi mazuri lakini twaomba utupe mahitaji ni yapi nikimaanisha viungo vipi tuweke i need it urgently if you could give it soon i will apreciate

Thank you Chef

Anonymous said...

Kaka ISSA Kwa Mara Nyngne Umegusa Mahala Panapotakiwa
Shukran Sana Kaka.. Kwa Mapnduz Ya Chakula Chenye Radha Yenye Kuongeza Hamasa Ya Kula
Ila Ume2saidia Kias
Ni Tofaut Ya Uwaslishaj Wa Dhima Yako Endapo Unge2pa Angalau Mahtaj Ya Mapsh Ye2[viungo]
2nakukumbusha 2 Mkubwa
NATANGULZA SHUKRAN YA DHAT!

Anonymous said...

mboga niipendayo sana na mabyao siichoki ni maharagwe'barikiwa sana kaka adi nakutamani hahahaaa

Unknown said...

napenda mboga ya maharage lakini naomba utoe na mahitaji kwasababu ningependa kujaribu kuipika