CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Thursday, September 6, 2012

ACTIVE CHEF RESTAURANT NYUMBANI TANZANIA

NIMEFUNGUA PAGE YA FACE BOOK ... inaitwa ...... Active Chef

WEWE NI MPENZI WA BLOG HII YA CHAKULA SAFI NA SALAMA NAKUOMBA CLICK HIYO LINK HAPO CHINI KISHA ITAFUNGUKA NA UNAWEZA KUJIUNGA KWA KU CLICK LIKE KATIKA UKURASA HUO ILI UWEZE KUENDELEA KUPATA RECIPE NA MATUKIO MUHIMU YAHUSUYO CHAKULA
 
 
http://www.facebook.com/pages/Active-chef/509561519067534#!/pages/Active-chef/509561519067534

BAADA YA KU LIKE UTAWEZA ONA PICHA MUHIMU NA RECIPE ZA RESTAURANT MPYA YA ACTIVE CHEF ILIYOFUNGULIWA NYUMBANI TANZANIA

 
Hapa iliku bado restaurant inatengenezwa

 
Mpangilio wa sauce na salad na nyama za tayari kwa kuchoma

 
Tunachoma samaki maarufu sana aina ya changu mwekundu na mweupe huwezi amini dakika saba tu chakula kipo mezani na ameivaa saafi


Huu ni muonekano wakati wa usiku

 
VIDEO HII NIMETUMIWA NA JAMAA MMOJA ALIETEMBELEA RESTAURANT NA KUFURAHIA SANA BBQ
 
JE WADAU MNADHANI RESTAURANT HII IPO MJI NA MAENEO GANI? MSHINDI WA KWANZA BBQ BUREEEEE!!!!
 
 
WASALAAM CHEF ISSA
 
 

8 comments:

Anonymous said...

Chef Issa!
Tumeuliza wee kule facebook hatupewi jibu. Can you please give out details za restaurant yako? I personally am dying to taste your food!!
Please please, tuwekee details za restaurant yako!
Thankss

Anonymous said...

Restaurant ipo wapi?

Anonymous said...

nahisi zanzibar ila sijui eneo gani

Sis V

Anonymous said...


Issa hii ipo Mtwara. @ DLH

Anonymous said...

ipo Mtwara!!

Anonymous said...

nahisi ipo chalinze

Aunt R.

Anonymous said...

mbona hujibu chef?restaurant iko wapi si hatutaki uo ushindi twataka msosi tu basi tuje tule

Anonymous said...

sasa tuna kila sababu ya kutembelea MTWARA kwasie tusiowahi fika uko msosi maridadi sana kaka
barikiwa