CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Saturday, February 16, 2013

JIFUNZE KUPIKA NYAMA YA MBUZI NA VIAZI ULAYA VYAKUOKA KATIKA OVEN


CHINI KABISA MWISHO WA BLOG ANGALIA RECIPE YA KEKI IPO TAYARI
 
JIFUNZE KUPIKA CHAKULA HIKI KITAMUA NA RAHISI SANA KWA MCHANGANYIKO WA MBOGA MAJANI, NYAMA YA MBUZI NA VIAZI ULAYA KWA MTINDO HUU WA MAPISHI UNAWEZA PIKA NYAMA YA KUKU, SAMAKI AU NYAMA YA NG,OMBE
 
MAHITAJI
 
JINSI YA KUANDAA FATILIA VIDEO YA MAFUNZO HAPO CHINI
 
 
 
Huu ni muonekano wa picha ya vyakula kwaajili ya maandalizi

 
Huu ni muonekano wa picha ya chakula kimeshaiva baada ya kutoka
 
 
Hii Ni video ya kwanza
 
 
Hii ni video ya pili
 
 
Na hii ni video ya tatu na ya mwisho
 
FURAHIA CHAKULA BORA WAANDALIE FAMILAI YAKO
 


7 comments:

Anonymous said...

nimeshiba kaka asante. Naomba majina ya hivyo viungo huku bongo

Anonymous said...

Tunashukuru sana kwa kutufundisha. nakosa uhondo kweli maana computer yangu naona haionyeshi hizo video.

Anonymous said...

Thanks chef. Nitaenda nunua hiyo curry green paste nipike huu upishi in shaa allah

liz said...

I have enjoyed watching you video on Nyama ya Mbuzi na Viazi it looks very appetizing. Keep up the good work you are doing in Tanzania.

Anonymous said...

GREEN PASTE NI

PILIPILI YA KIJANI,JANI LA NDIMU,KITUNGUU SAUMU,KWANGUA GANDA LA LIMAO GILIGILANI ZA MBEGU, PILIPILI MANGA CUMMIN UNATWANGA ,KIUNGO HICHO NI KUTOKA TAILAND MTAZAMZJI MWANZIO FRM SWDDEN

Anonymous said...

Kaka Issa, Asante sana nafurahia sana video zako, asante kwa darasa unalotoa.

Anonymous said...

Chef Issa safi sana. asante kwa kutufundisha mapishi ya vyakula vitamu.

Nakumbuka nilivyokuwa mtwara maisha club, tulikuwa tunaenjoy misosi yako.

Ntaitafuta green paste niwapikie familia jumapili.