CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Saturday, January 2, 2010

MAONI YENU NI MUHIMU SANA NDUGUZANGU

KAMA NILIVYOSEMA MWANZO NAHITAJI SANA MAONI YENU ILI NIJUE MNGEPENDA HASA TUANZE NA MAFUNZO YAPI LAZIMA TUWE NA MPANGILIO NA MTIRIRILIKO WA MAFUNZO KURA YA WENGI NDIO ITAPEWA KIPAUMBELE NASHUKURU SANA WALE WOTE MANOENDELEA KUCHANGIA NA MAWAZO YOOTE YANAHESHIMIWA

CHEF ISSA.

2 comments:

Anonymous said...

Chef, mimi kama nilivyosema mwanzo, ili tuwe na mpangilio mzuri ni vyema ukaanza na starter au finger foods kwa sababu moja kuu, kuna wengine ni wapishi tayari, ila kuna wengine ndio kwanza wanaanza kujifunza mapishi.

Kwa kuwa hivi vyakula vya awali au starters na finger foods ni rahisi kuvipika, itakuwa rahisi hata ambao si wajuzi katika mapishi kujifunza, kisha ndio tuingie kwenye salads, juice na lastly main menu.

Na hii itasaidia hata kubadilisha style ya kula vyakula huko nyumbani, kwani vitu vinapatikana kwa wingi na ni rahisi kulinganisha na ulaya ila hatujui namna ya kuvitumia kama starters. Utakuta vitu viko kibao tena fresh lakini tumezoea kula mikono mitatu, yaani unatia mkono wako kwenye maji ya kunawa, kisha unamega ugali, unamalizia kwenye mchuzi/mboga. Ndio milo yetu hiyo hata kama familia ina uwezo wa kununua hizo mboga mboga na mambo mengine, lakini mazoea ndo yanapelekea tule mikono mitatu. Badala ya course tatu au nne za chakula.

Mswahili

Anonymous said...

chef hongera kwa ulipo fikia. nina stori ndefu kidogo na fani hii ila naomba niende kwenye point ya msingi me ni hotelia mwaka uliopita nilikua mpishi melini huko Dubai coz napenda kua mpishi tangu sikunyingi ila msukumo wa maisha kama ujuavyo hapa kwtu unaakuta unaangukia kwingine kama sasa nafanya kazi kama riceptionist ili tu nisikae bila kazi nashukuru kupata hii blog yako yawezekana ukawa msaada kwangu me niko znz siyo mzurii saana ktk mapishi ingawa ndo dipartiment niipendayo hadi nakwenda Dubai kama mpuishi huwezi amini hiku nilikua Barman ila nilifika kule watu wakafrahia mapishi yangu niko ladhi kukutafuta ulipo coz ndoto niku fikia lenk yako na zaidi adonicemarinya@yahoo.com