CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Sunday, July 25, 2010

HII NI BURGER YA KUKU KIFARANGA TAMU KULIKO ZOTE

WENGI MMEKULA SANA BURGER ZA KUKU LAKINI NAIMANI WENGI WENU HAMJAWAHI KULA BURGER HII YA KIFARANGA

NI TAMU SANA NA NILAINI HUSUMBUKI KUTAFUNA ILA UNAHITAJIKA KUA NA ROHO NGUMU MAANA UNACHINJA KWA MENO NA HAINA SAUCE.HAHAHAHAHAAAAAAAA JE UTAWEZA KULA? LADHA YAKE UNADHANI ITAKUWAJE?

2 comments:

Anonymous said...

heeee nilitaka kuzimia...
nikadhani umetengeneza chakula icho kwa mfano wa kifaranga,kumbe ni mzima?

ntajitaidi binafsi kukutumia kile nilichopika kwangu baada ya kusoma umu

Anonymous said...

no,hiyo nikuua mtomto mdogo sana,yani kifaranga.