CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Friday, July 30, 2010

WAPENZI WOOTE WA BLOG HII LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA!!!

NASHUKURU SANA WAPENZI WOTE WAA BLOG HII KWA DUA ZENU NA SALAMU NZURI SANA SANA KWA KUADHIMISHA SIKU YANGU YA KUZALIWA MWENYEZI MUNGU ANATULINDA TUNAENDELEZA DARASA LA MAPISHI KWA FURAHA

31 / 07 YA KILA MWAKA NI SIKU NZURI SANA KWANGU NAMSHUKU SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUNIJALIA AFYA NJEMA, NGUVU, ELIMU NA UJUZI ILI NIWEZE KUKIMU MAISHA KWA KUJITAFUTIA NA KUSHIRIKIANA VIZURI NA KILA MTU.

TOKA NILIPOZALIWA MPAKA LEO NIMEWEZA KUA NA MARAFIKI WENGI SANA SANA HII YOTE NI SHULE NZURI NILIYOPATA KATIKA MALEZI YA WAZAZI WANGU WAPENDWA MUNGU AWAJALIE MAISHA MAREFU YENYE FURAHA NA AMANI.

MKE WANGU, MTOTO WANGU, NDUGU ZANGU NA RAFIKI ZANGU WOOTE   NAWAPENDA SANA NA NINASHUKURU KWA KILA KITU.WASALAAM CHEF ISSA


24 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kaka Issa Hongera kwa sikuya kuzaliwa.

Flower said...

Happy B'day chef Issa!have a wondeful day!!

Anonymous said...

ooh!happy birthday chef issa.

kambi said...

happy birthday kaka Issa, Mwenyezi Mungu akuzidishie umri na afya njema.

Anonymous said...

happy birthday chef.be blessed always

Anonymous said...

happy birthday

Anonymous said...

wow! happy birthday chef.wish u all the best

Anonymous said...

Happy B,day chef wetu, mungu akulinde uzidi kutulitea mambo ya mapishi. ubarikiwe afya njema.

Anonymous said...

happy birthday mungu akupe umri na afya
love you bro

Anonymous said...

happy birthday to youuuuu

Anonymous said...

happy birthday,mungu hakupe maisha marefu yenye afya njema na mafanikio.

Anonymous said...

Happy birthday Chef. i really love your blog and i find it supper helpful.....asante kwa kunifundisha chapati..God bless you n give you more yearts in your life

Jalala One said...

Happy Birthday Issa, wish u all the happiest moment in your life, May God Bless You

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY MWANA LEO MWENZANGU. WATU WA LEO WANAPENDA SANA KUPIKA NA WANAPENDA WATU NA NI WACHESHI. I WISH YOU LIVE TO BLOW 100 CANDLES.

Anonymous said...

happy belated bday chief. Mungu akatimize yote uyatakayo katika maisha yako

mammy said...

happy birthday brodaz
mungu akutangalie katika mambo yako yote unayotaka kuyatimiza inshaallah.

Anonymous said...

hongera baba mungu akuweke

Mama Jeremiah said...

Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa. Tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu akuzidishie miaka mingi zaidi. Hongera sana.

Unknown said...

Hongera sana Chef, Mungu akuzidishie maisha marefu ili uendelee kutusaidia kuimarisha afya za familia zetu.

zaytun m said...

jamani my brother CHEF ISSA Pole kwa kutokuwish UA BTH DAY kumbe mie na wewe tumezaliwa siku moja thats why namie najua kupika ha ha ha ha ha ha,!hata mie nimezaliwa 31/7/1985 big up my brother MUNGU AKITUWEKA SALAMA INSHA ALLAH NEXT YEAR NTAKUWA THE FIRST PERSON KUKUWISH HAV Agud day,zaytun m

Disminder orig baby said...

HAPPY BELATED BIRTHDAY BROTHER.
ALLAH AKUZIDISHIE AFYA, UMRI MREFU INSHALLAH, AMANI NA UPENDO NA INSHALLAH KILA JEMA KWAKO LITIMIE NA MAOVU YAKUEPUKE KWA REHMA ZAKE.
AMEN

Anonymous said...

Happy Birthday kaka ISSA.

love from.

jackie.

ruky said...

Mimi wa mwisho kukuwish. mungu akupe maisha marefu yenye afya tele.

Anonymous said...

happy bday master chef