CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Thursday, January 7, 2010

SAMAHANI SANA WAPENZI WA BLOG HII

Naomba radhi kwa wapenzi wote wa blog hii kwani nimeshindwa kuweka mafunzo yeyote kuanzia tar 4/1/2010. Nimebanwa na majukumu ya siku 4 tu kwasasa nipo katika chuo uholanzi nimealikwa kama mwalimu mgeni kubadilishana utaalamu na wanafunzi wa chuo cha Horeca en Toerisme kesho kutwa na maliza na naahidi j mosi tar 9/1/2010 nitaendelea na mafunzo na mtegemee mambo mazuri zaidi. nitaleta mafunzo jinsi yakutengeneza ice cream za ladha mbali mbali nyumbani bila kutumia mashine ukiwa na friza tu unaweza tengeneza nyumbani na ni rahisi kabisa na familia wakafurahia sana.




Katika picha hapo juu ni chef Issa na huyo pembeni yangu ndio mkuu wa chuo cha Horeca en Toerisme Uholanzi ndio alienialika kwenda chuoni kwake kufundisha kwa siku 2 lengo ni kubadilishana utaalamu nikiwa kama mwalimu mgeni.

4 comments:

Anonymous said...

all the best mzee a maakuli, cant wait for ice creams

Anonymous said...

usijali shehe tupo pamoja

kijo

The Old Tanganyika Safari Co. said...

Chef Issa can I be your friend :-)) or su chef...Good stuff:-))Amani Kitally shared this link on FB and I am a curious cook (NOT CHEF YET):-)
KEEP UP THE GOOD WORK

Unknown said...

Chef Issa, habari, naomba utupostie namna ya mapishi ya makaroni,

asante kwa kazi nzuri