CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Thursday, March 11, 2010

WAPENZI WA BLOG YA CHAKULA SAFI NA SALAMA

NDUGU ZANGU NAOMBA MNIPE MAJIBU YA MAFUNZO NAYOTOA MNAPOPIKA NYUMBANI CHAKULA KINAONEKANA VIPI NA LADHA INAKULA NZURI PIA MLIOTUMIA DAA YA MAFUA MMEPONA? MLIOTUMIA NJIA YA KUMFANYA MTOTO ASIEPENDA KULA JE WAMEBADILIKA WATOTO? NASUBIRI MAJIBU YENU

5 comments:

Nancy said...

Kwakweli huwa kinakuwa kizuri sana!Japo sio kama kinavyoonekana hapo kwenye picha unazotuwekea,sometimes nazidisha vipimo,sometimes naunguza kidogo ila kiukweli kinakuwa bomba sana!!! mimi binafsi huwa naingia humu kwenye blog kila siku mara mbili asubuhi na jioni kuangalia new update na kuona kama ninaweza kupika dish of the day nyumbani kwangu.

Ruky said...

Mimi nilisifiwa sana jpili nilipika biriani kwa mafunzo yako nilikuwa na wageni, wakaniomba recipe, hahahaaaa nimedesa kwako kwa kuwa sio watz. hawajui kiswahili. Asante sana tuko pamoja

Anonymous said...

Blog ni nzuru sana.Binafsi naitembelea kila siku ninapokuwa kwenye internet.Nzuri kaka,keep it up

someone said...

so far nilijaribu maandazi na chapati na nilijitahidi sana kwa kweli, navuta pumzi ili nipike biriani sasa. utuletee na vyakula vya kiitaliano kama lasgna na pasta kwa ujumla!!tks

Anonymous said...

Mambo mazuri, unahisi kabisa watu wanafurahia kukaa mezani.
Si unajua watoto wanavyopenda vyakula vya Tunu?

Asante kaka.



disminder.