CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Sunday, November 7, 2010

JIFUNZE KUCHONGA MBOGA NA MATUNDA SOON UTAPATA SHULE



KAA TAYARI KWA MAFUNZO HAYA YA UCHONGAJI WA MBOGA NA MATUNDA











4 comments:

Anonymous said...

Kaka nakupongeza sana kwa darasa unalotupa hapa, natamani kurudi shule nikasome mapishi. wengine kama tulienda shule bila kujua tunataka nini!

Anonymous said...

kwa kweli ninafaidika sana na mapishi yako.Mume wangu anapenda sana kula hivyo nimepanda grade kutokana na mapishi yako. Sasa huu utundu wa kutengeneza picha za matunda imetia fora. Kazi njema.

Anonymous said...

Hongera sna kwa kutupa darasa la bure. Mungu akujalie uendelee na moyo huo huo!
Twasubiri maujuzi haya kaka.

Anonymous said...

hongera sana kaka iskwa ubunifu wako yaan inafurahisha sana, nimejifunza mengi sana, hilo tikiti mpaka natamani kutokulila nikae nalitazama tu.......safiiiiiii