CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Friday, August 13, 2010

UNAMPENDA MWANAO!??? KAA TAYARI KWA TAKE AWAY SAFI ZA SHULE AU PICNIC

YAMY YAMY!!!!!! ITS KIDS CORNER

 
TUMA EMAIL KWA issakesu@gmail.com ILI NIKUTUMIE MENU NA JINSI YA KUANDAA TAKE AWAY YA MWANAO WAKATI WA SHULE AU AKIWA NA PICNIC IKIWA KATIKA Ms Word .Huu ni muonekano wa croisant ikiwa na mchanganyiko wa mboga majani, cheese na matundaHuu ni muonekano wa matunda mchanganyiko


Huu ni muonekano wa samaki ikiwa safi sana na mboga majani


Huu ni muonekano wa wali ukiwa na dengu safi sana


Inategemea una vyombo vizuri na vikubwa kutosha mchanganyiko huu kwajii ya watoto wako? tuma email upate maelezo zaidi jinsi ya kuandaa.Huu ni muonekano wa mkusanyiko wa vyakula vyote, nawapenda sana sana watoto!!!


UNAWEZA MFUNGASHIA MWANAO LUNCH BOX SAFI SANA NA ASIHANGAIKE NA NJAA AU KUNUNUA CHAKULA KISICHO SALAMA

9 comments:

Unknown said...

Issa,
Nasubiri kwa hamu, Hii ishu ya chakula cha watoto shuleni (day scholars) kweli ni headache kubwa sana, ideas like these are truly welcome
KK

mama Jeremiah said...

Chef Issa, hata mimi nasubiri sana kujua jinsi ya kufungasha chakula cha mtoto. nasubiri kwa hamu sana

Mama Jeremiah

Disminder orig baby said...

asante kaka Issa.
Ramadhani Karim.
Tafadhali ebu tupe vitu vya futari tuzidishe upendo kwa familia zetu.

Anonymous said...

Yaani Kaka nakukubali na Mungu akuzidishie more ideas, mwanangu anaanza shule next week, sijui hata nitakuwa namwandalia nini, PLEASE TREAT THIS TOPIC WITH TOP HIGH PRIORITY BY J5 TUWEKEE MAMBO PLEASE. Coz ni mtoto wangu wa kwanza, i have no idea what to do siku ikifika.

mdau-Lilian

Anonymous said...

I can't wait! This is going to be very helpful! Maana kuandaa chakula cha watoto cha shule ni headache!

Anonymous said...

JAMANI KAKA YANGU YOU JUST KNOW WHAT WE NEED, KULIKO MTOTO AKALE CHIPS KAVU ZA MTAANI NIBORA AKAFUNGASHIWA VITU. MI MWANANGU KILA SIKU NILIKUA NACHANGANYIKIWA SNACK YAKUMFUNGASHIA MANA KILA SIKU MIKATE AU SOSEJI TU. CAN'T WAIT FOR MORE IDEAS

James Chuwa said...

Kaka nakukubali sana, hebu nirushie hizo menyu za watoto mtu wangu, kweli ni headache when it comes to this

Big up buddy!

Anonymous said...

thanks kaka tunaomba utuonyeshe jamani. Mimi binafsi mwanangu ninavyomuwekea mara nyingi huwa ni:

1. Matunda: apples, grapes, mango chunks
2. Vegetables: vipande vya cucumber, carrot sticks, na vipande vya nyanya nilivyoweka chumvi kidogo
3. Sarnies: yani either sandwich ya ham labda na tuna paste, sardine, chicken paste etc, au wraps zenye chicken and cheese etc
4. Baked potato wedges na baked fish cake au chicken
5. Yoghurt
6.Maji au juice.

Yani from kila namba namuwekea atleast kimoja ila naona vimeshakuwa kama routine napenda kuona mapishi mengine ili nimuongezee asiboreke na chakula chake.

Anonymous said...

lINI ITAKUA HII KITU?