CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Monday, February 22, 2010

GREETINGS

WAPENZI WOTE WA BLOG YA CHAKULA SALAMA NAOMBA RADHI KWA KUCHELEWA SANA KUWEKA MAFUNZO KAMA WENGI WENU MLIVYOOMBA SASA KAZI INAENDELEA KILA SIKU MTAPATA MAFUNZO MBALI MBALI MFULULIZO BILA KUKOSA MAONI YENU NI MUHIMU SANA ILI KILA MMOJA APATE KUFAHAMU KAMA HUJAELEWA ULIZA UPATE UFAFANUZI ZAIDI WAPENZI WA BITES, KEKI, SALAD SOON MTAFURAHI NAWASHUKURU WOTE KWA USHIRIKIANO WENU NAWATAKIA KAZI NA SIKU NJEMA CHEF ISSA.

2 comments:

Anonymous said...

unapatikana wapo incase one anataka kula chakula chako,this z a very intersting blog coz kna vitu vingi nilikuwa nakoseaga kupika.

Anonymous said...

Blog ipo hot, maana kwa sisi wapenzi wa kula hapa ndiyo sehemu ambayo lazima nipitie maana napate maujuzi yote ya misosi.

Nasubiri kwa hamu maswala ya SALAD maana mimi ni mpenzi sana wa hiyo kitu. Robert