CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Sunday, February 28, 2010

MAULIDI NJEMA


WAPENZI WOTE WA BLOG HII YA CHAKULA SAFI NA SALAMA NAWATAKIA WEEKEND NJEMA NA MAPUMZIKO MEMA YA SIKUKU YA MAULIDI BAADAE KIDOGO RECIPE MPYA NYINGI TU ZINAKUJA USIKOSE

2 comments:

Anonymous said...

shukran,na wewe sikukuu njema ya maulid

Anonymous said...

asante nawe pia. sasa kaka ungetuwekea basi na mapishi special kwa ajili ya Eid.