CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Thursday, October 7, 2010

GREETINGS


HABARI WAPENZI WA BLOG

 NASHUKURU SANA SANA WAPENZI WOTE WA BLOG TULIOWEZA KUONANA NA KUBADILISHANA MAWAZO WAKATI WA LIKIZO YANGU INSHAALAH TUTAONANA TENA DECEMBER MOLA AKIPENDA. NAOMBA MNITUMIE PICHA ZA VYAKULA MLIVYOTENGENEZA NIWEKE KATIKA BLOG.

NAWATAKIA KAZI NA SIKU NJEMA.

CHEF ISSA 



9 comments:

Anonymous said...

Habari Kaka Issa
Nafurahi kusikia uko nyumbani. Nilikuwa naomba kama utaweza utuwekee namna ya kuandaa pizza. Hasa kwa kutumia oven zetu za kibongo, na kama Microwave oven yaweza tengeneza pia tujuze.
Asante
Mdau wa Blog yako.

Anonymous said...

Habari yako Kaka Issa
Natumai u mzima wa afya. Kwanza napenda kusema asante kwa kuanzisha blog hii kwasababu chakula cha nyumbani kimekuwa so boring ni wali maharage tuu angalau sasa hivi tunabadlisha menu..

Huwa napenda kuangalia blog yako na kufuata recipes nikiwa nataka kupika chakula special kwa ajili ya rafiki zangu ila huwa sina choices nying wengi wao ni vegeterians. Kwahiyo naomba ikiwezekana uwe pia unaweka vegeterian recipes kwa ajili ya vegeterians na pia vyakula kwa wale wanaotaka kupunguza uzito au kuongeza uzito.

Namuomba Mungu akupe wewe na familia yako afya njema na kila la kheri endelea na kazi nzuri.

Asante
Mdau wa blog yako

Anonymous said...

KARIBU NYUMBANI KAKA ME NIGEPENDA UNIJUZE TUNDA LA BEETROOT LINAPIKWA AU LINALIWA HIVI NA KAMA LINAFAA KWA JUICE JE NAWEZA CHANGANYA NA MATUNDA YAPI ILI KUPATA LADHA MURUA NI HAYO KARIBI SANA NYUMBANI
MDAU MAMA COLLIN

Disminder orig baby said...

kaka karibu sana nyumbani.
Duh I wish nipate muda japo wa kukupa mkono tu. Lakini nakutakia mapumziko mema na Inshallah tukijaliwa tuendelee na mafunzo yetu.

Anonymous said...

Pole sana Chef Issa kwa kuondokewa na Mjomba wako. Inauma sana ulienda nyumbani kwa mapumziko tena yanatokea mengine. Nyway kazi ya Mungu haina makosa.'Ninakutakia safari njema.
Mdau wa Blog yako( Uchina)

Unknown said...

Inna Lillahi Wainna Illahi Rajeun.

Majoy said...

Pole sana kwa msiba na safari njema.

Anonymous said...

innalillah wainaillahi rajiuun! hakika mola atamjaalia maisha mazuri huko alipo.

mama Jeremiah said...

Poleni sana Chef Issa kwa msiba uliowapata.
Tunawaombea faraja ya Mungu katika kipindi hiki.
RIP Mjomba Kitumbo.
Poleni sana

Mama Jeremiah