CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Monday, June 21, 2010

JINSI YA KUANDAA CHICKEN TANDOORI

SAMAHANI SANA KWA USUMBUFU WAPENZI WOTE MLIOKUA MKISUBIRI RECIPE YA CHAKULA HIKI MEMORY CARD YA CAMERA YANGU IMEKUFA NA PICHA ZIMEPOTEA NATENGENEZA UPYA CHAKULA HIKI KISHA NITAWEKA RECIPE PAMOJA NA PICHA ILI KURAHISISHA KWA MPIKAJI
2 comments:

Anonymous said...

tupe vitu kaka tuzidi kufurahi na familia zetu.

ruky said...

kaka hapa tunasubiri kwa hamu.