CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Thursday, March 4, 2010

RATIBA YA CHAKULA SALAMA KWA AFAYA YA MLAJI

KUTOKANA NA MAOMBI MENGI SANA YA WAPENZI WA BLOG HII YA CHAKULA SAFI NA SALAMA KWASASA NAANDA RATIBA NA MAELEZO MUHIMU YA CHAKULA KITAKACHOKUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO, KITAMBI NA KUFANYA UWEZE KUDHIBITI UZITO WA MWILI WAKO KWA NJIA RAHISI NA GHARAMA NAFUU NA UKAFURAHIA BILA KUONA TOFAUTI KUBWA YA CHAKULA ULICHOKUA UNAKULA KAA TAYARI KWA SOMO HILI SAFI KABISA. 
4 comments:

Hilda said...

Chef Issa Hapo ndo napasubiria kwa hamu kubwa.

Hilda

Anonymous said...

Yaani, naisubiria kwa hamu kaka. Maana wengine uzito kwetu ni tatizo. I need to loose at least 10 kgs. Nisaidie kaka

Anonymous said...

Chef Issa kwa kweli nasimangwa sana na unene ebu tusaidie! bwana kuniacha haniacha lakini cha moto nitakiona

Unknown said...

TUNASUBIRI KWA HAM KAKA MAANA WENGI NI WAATHIRIKA WA UNENE! TUPE RATIBA HIYO TUPUNGUZE VITAMBI