CULINARY CHAMBER

LIBENEKE LA CHAKULA BORA WATU LAZIMA WALE MSOSI MTAMU NA SALAMA KUJIFUNZA NI BURE

Monday, March 29, 2010

SEASON GREETINGS

TAR 2/4/2010 NI IJUMAA KUU NA TAR 4/4/2010 NI PASAKA JE UNAJUA VYAKULA MAALUMU KWAJILI YA PASAKA? KAA TAYARI KUPATA DONDOO ZA VYAKULA VYA JADI KWAJILI YA SHEREHE YA PASAKA.



Kwa wale wapenzi wapya wa blog hii ya chakua safi na salama, Blog hii ilianza rasmi tar 1/1/2010 kwahiyo kuna mafunzo mengi sana yameshapita angalia upande wa kulia wa blog katikati kuna neo limeandikwa Blog Archive bonyeza hapo kisha utaona tarehe za kila mwezi na aina ya chakula kilichofundishwa bonyeza jina la chakula kisha utapata mafunzo jinsi ya kutengeneza.

Mfano mafunzo ya mwezi wa kwanza kuna jinsi ya kutengeneza chapati na maandazi na mwezi wa pili kuan jinsi ya kutengeneza biriyani safi kabisa, croissant na vyakula vingi tu. Na mwei wa tatu kunamaelezo ya kutengeneza aina za vitafunwa, BBQ paryt na keki mabali mbali.

Kwa wale wote wenye matatizo ya uzito mkubwa muda si mrefu nitakua nimeshamaliza kuandaa somo la jinsi ya kutumia ratiba na aina ya chakula kitakacho kusaidia kupunguza uzitio iwe ni mwanamke au mwanaume inategemea kuna vyakula vyakupunguza uzitio na kuna vyaklula vya kupunguza kitambi pia.

Kumbuka hakuan cha rahisi duniani kikubwa ni kukazana na kufatilia mafunzo bila kuacha pia imenichukua muda sana kuandaa maana lengo ni kusaidia jamii nzima na kila mmoja afaidike kwahiyo vyakula hivi vitakua ni nafuu na upatikanaji wake ni rahisi kokote duniani.



5 comments:

Anonymous said...

unafanya kazi nzuri sana kaka!Nimefaidika na mapishi unayotoa humu.Mi nasubiri kwa hamu hiyo ya kupunguza mafuta/unene.
Kazi nzuri!keep it up

Anonymous said...

Yes tunasubiri kwa hamu sana kaka.
asante anony hapo juu.


disminder.

Anonymous said...

Issa tupe na mapishi ya biskuti
unajua tena mambo ya kujipumzisha jioni na familia inaleta raha sana.

Geofrey.

Anonymous said...

Mi naomba utuletee zote 2. Ya kupunguza kitambi na ya unene kama zitakuwa ni njia 2 tofauti.

Nataabika kujibana ili nipungue lakini wapi.

Ruky said...

Asante sana kaka, tunasubiri
Ombi lingine naomba ukipata muda utuandikie mapishi tofauti tofauti ya pasta.